Ubunifu Maridadi

Ubunifu Maridadi Inajihusisha na ubunifu wa picha na video, zaidi imejikita  katika picha kama vile:-
  • Mabango,(posters)
  • Nembo (logo)
  • Kadi (Business card, Invitation card, Thanks Giving Card)
  • Makava ya  CD/DVD (Cover)
  • Kalenda za aina mbalimbali (Table Tent)n.k
Hizi ni baadhi ya kazi zetu kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano (Wasiliana Nasi) .zaidi ya yote hii ni sehemu ya furaha yetu kufanya kazi zetu na kujumuika na jamii inayotuzunguka katika kuleta mabadiliko chanya na kuwakilisha ujumbe wetu kwa jamii na mtu husika.